Mambo yakaanza hivi. |
Tukiwa twamalizia siku hii ya leo siku iliyokuwa "maalyumu" kwa ajili ya kukumbuka kuzaliwa kwa mtoto Paulina Arriana Bandio nipende kutoa shukrani kwa woote mlioshiriki nasi kwa namna moja ama nyingine kuiwezesha siku hii kufana kwa kiasi ilichofana.
Hongera Saana Mjukuu wetu. We are so Proud of You. |
Hakika imefana hasa kwa sababu ameweza sherehekea sherehe hii akiwa na Mama, Babu, Bibi na Baba wadogo zake (Kakulu na Kato) Na pia kuweza jumuika na baadhi ya watoto wenzake katika sherehe hii.
Twaamini hii itakuwa kumbukumbu nzuri sana sio leo tu bali maishani mwake mwoote. Nasi twazidi muombea Baraka nyingi, Hekima, Upendo na Moyo wa huruma bila ya kusahau kumcha Mwenyezi Mungu aliye Muweza wa yoote.

Matukio mengine kwa ufupi ni kama yaonekanavyo hapo chini;
Wooow! I thank God I have made it, |
This is a special Cake for you BABU. |
Asanteeeeee na Hongera sana mjukuu wa Jina. |
This is for You Mummy. I love you so much. |
Na hawa ndio Maswahiba wangu huku. |
BARIKIWA.
Hongera sana Paulina Arriana Bandio, baba amekumisi!!!
ReplyDelete