Baadhi ya Group mates wangu. |
Remember that "when you ask and receive what you have asked the prayer is not complete until you have given thanks."
Nipende kitumia nafasi hii kuwashukuru wapendwa wangu hawa kwa jinsi tumekuwa wote katika shughuli nzima za masomo. Kiukweli nimepata jifunza mengi kutoka kwenu na hata kwa wengine ila kwa muda mrefu sana nimekuwa nanyi na tumejumuika pamoja katika shughuli nyingi za kielimu, kiuchumi na hata kijamii.

Best Friend Silvester. |
I real enjoyed mpaka sasa nawaza kama nitajapata watu wa kushirikiana kiukaribu na kuwa wote kama ndugu mithili ya vile tulivyokuwa twaishi wote chuo.
Baadhi ya wandugu katika matukio |
Ninaamini bado kuna mengi sana nilitakiwa jifunza kutoka kwa kila mmoja wenu na hata kwa ujumla wenu ila kwa ajili ya muda haikuwezekana ila kwa kipindi cha miaka mitatu tumekuwa wote sina budi kujivunia mchango wangu kwenu na hata kukiri kuwa ninawamis sana.
L-R. Twin, Brother Fortunatus and I. |
Hata hivyo ninawatakia kila lililo jema na kuwaombea uzima na afya ili kutimiza malengo yenu.
NINAWAMIS, NAWAPENDA, NAWAOMBEA NA NAWATAKIA MAISHA MEMA.
BLESSINGS TO YOU ALL.
No comments:
Post a Comment