Saturday 27 November 2010

Welcome to Kato's Blog.

Ndugu Kato  Bandio in BISMARK ROCKS Mwanza.
Karibuni sana kwenye Blog hii, kutakuwa na mengi mazuri ya kujadili pamoja nanyi. Natumai yatakuwepo mengi yahusuyo jamii zaidi, na zaidi  maisha halisi ya kuigiza tunayoishi sasa na natumai kupitia kijiwe hiki tutaweza kutafuta suluhisho pamoja ama kwa kutoa mapendekezo yatakayoleta mabadiliko kwa mtu mmoja mmoja ama jamii kwa ujumla. Karibuni Kijiweni wapendwa na Mungu atusaidie wote. PamoJAH Daima

3 comments:

  1. Pongeki mingi sana na Inshalla MOla na akuzidishie kila uchao

    ReplyDelete
  2. Mbona tulishakaribia?
    Haya lete "kyakulya" sasa

    ReplyDelete
  3. kyakulya hikyo hapo, na hiyo ni Gichwa bado jenyewe

    ReplyDelete